sw_tn/exo/34/21.md

12 lines
446 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.
# Ata wakati wakilimo na wa mavuno
"Ata unapo andaa ardhi au kukusanya mazao"
# Sherehe ya Makusanyo
Sherehe ilijulikana kama pia Sherehe ya Mahifadhi au Sherehe ya Mabanda. Wazao lilikuja kutoka kwa walimaji walipo ishi kwenye vibanda vya muda mfupi, au nyumba za nyasi, nje kwenye mashamba kulinda mazao yanapo komaa. Neno "Makusanyo" ina maana wanapo vuna mazao yao.