sw_tn/exo/34/15.md

12 lines
394 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Yahweh anaendelea kumwambia Musa jinsi watu wake wana paswa kutenda kwa watu wa njee.
# kwa kuwa wanajifanyia ukahaba kwa miungu yao
Mungu anaongelea watu wengine kuabudu miungu mingine kana kwamba ni makahaba wanaenda kwa wanaume wengine.
# na wewe utakula baadhi ya dhabihu zake
Madhara ya kula chakula kilicho tolewa dhabihu kwa mungu mwingine yaweza andikwa wazi.