# Sentensi Unganishi Yahweh anaendelea kumwambia Musa jinsi watu wake wana paswa kutenda kwa watu wa njee. # kwa kuwa wanajifanyia ukahaba kwa miungu yao Mungu anaongelea watu wengine kuabudu miungu mingine kana kwamba ni makahaba wanaenda kwa wanaume wengine. # na wewe utakula baadhi ya dhabihu zake Madhara ya kula chakula kilicho tolewa dhabihu kwa mungu mwingine yaweza andikwa wazi.