|
# watu wako
|
|
|
|
Hapa "wako" ya husu Musa.
|
|
|
|
# ni kitu cha hofu ninacho fanya kwako
|
|
|
|
Kitu cha hofu ni kitu kinacho sababisha watu kuogopa. Katika hoja hii, watu watamuogopa Mungu watakapo ona anacho fanya.
|
|
|
|
# ninacho fanya kwako
|
|
|
|
Hapa "kwako" ya husu Musa na watu wa Israeli.
|