# watu wako Hapa "wako" ya husu Musa. # ni kitu cha hofu ninacho fanya kwako Kitu cha hofu ni kitu kinacho sababisha watu kuogopa. Katika hoja hii, watu watamuogopa Mungu watakapo ona anacho fanya. # ninacho fanya kwako Hapa "kwako" ya husu Musa na watu wa Israeli.