sw_tn/exo/33/14.md

468 B

Uwepo wangu utaenda

"Uwepo wa Mungu una muwakilisha yeye"

utaenda nawe ... nitakupa

Neno "nawe" lina husu Musa.

nitakupa pumziko

"Nitaacha upumzike"

Au je

"Kama uwepo husipo enda nasi"

itajulikanaje

Hii yaweza elezwa kwa tensi tendaji.

itajulikanaje

Musa alitumia hili swali kusisitiza kwamba kama Mungu hasipo enda nao, hakuna mtu atakaye jua kuwa Musa kapata upendeleo machoni pa Mungu.

Haitakuwa kuwa tu kama

"Haitajulikana tu kuwa kama"