# Uwepo wangu utaenda "Uwepo wa Mungu una muwakilisha yeye" # utaenda nawe ... nitakupa Neno "nawe" lina husu Musa. # nitakupa pumziko "Nitaacha upumzike" # Au je "Kama uwepo husipo enda nasi" # itajulikanaje Hii yaweza elezwa kwa tensi tendaji. # itajulikanaje Musa alitumia hili swali kusisitiza kwamba kama Mungu hasipo enda nao, hakuna mtu atakaye jua kuwa Musa kapata upendeleo machoni pa Mungu. # Haitakuwa kuwa tu kama "Haitajulikana tu kuwa kama"