sw_tn/exo/31/16.md

325 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini awaambie watu wa Israeli.

wataishika Sabato

Mungu anaongelea kutii maelekezo yake kuhusu Sabato kama kushika Sabato.

Kuiangalia sana hiyo Sabato katika vizazi vyao vyote

"Wao na vizazi vyote vya watu wao wa itunze"

agano la milele

"sheria isiona mwisho"