sw_tn/exo/31/16.md

16 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini awaambie watu wa Israeli.
# wataishika Sabato
Mungu anaongelea kutii maelekezo yake kuhusu Sabato kama kushika Sabato.
# Kuiangalia sana hiyo Sabato katika vizazi vyao vyote
"Wao na vizazi vyote vya watu wao wa itunze"
# agano la milele
"sheria isiona mwisho"