sw_tn/exo/31/03.md

199 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuzungumza na Musa.

nimemjaza Bezaleli na roho ya Mungu

Yahweh anazungumza kumpa Bezaleli Roho yake kana kwamba Bezaleli ni birika na Roho ya Mungu ni maji.