sw_tn/exo/31/03.md

8 lines
199 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuzungumza na Musa.
# nimemjaza Bezaleli na roho ya Mungu
Yahweh anazungumza kumpa Bezaleli Roho yake kana kwamba Bezaleli ni birika na Roho ya Mungu ni maji.