sw_tn/exo/30/22.md

738 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

manukato

mimea iliyo kauka watu wanayo kausha kuwa unga na kuweka kwenye mafuta au chakula kutoa harufu nzuri au ladha.

shekeli mia tano ... shekeli 250

"shekeli 500 ... shekeli 250" Shekeli ni kama gramu 11.

mdalasini ... kane ... kida

Haya ni manukato mazuri.

kwa kuiandama shekeli ya mahali patakatifu

Dhahiri kulikuwa na shekeli zenye uzito zaidi ya moja kipindi hicho.

kazi ya ustadi ya mtengezaji manukato

Maana zinazo wezekana ni 1) Musa alikuwa na mtengeneza manakuto afanye hii kazi au 2) Musa alikuwa afanye hii kazi kama mtengeneza manukatao anavyo fanya.

mtengezaji manukato

mtu mwenye utaalamu wa kuchanganya manukato na mafuta