sw_tn/exo/30/22.md

28 lines
738 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.
# manukato
mimea iliyo kauka watu wanayo kausha kuwa unga na kuweka kwenye mafuta au chakula kutoa harufu nzuri au ladha.
# shekeli mia tano ... shekeli 250
"shekeli 500 ... shekeli 250" Shekeli ni kama gramu 11.
# mdalasini ... kane ... kida
Haya ni manukato mazuri.
# kwa kuiandama shekeli ya mahali patakatifu
Dhahiri kulikuwa na shekeli zenye uzito zaidi ya moja kipindi hicho.
# kazi ya ustadi ya mtengezaji manukato
Maana zinazo wezekana ni 1) Musa alikuwa na mtengeneza manakuto afanye hii kazi au 2) Musa alikuwa afanye hii kazi kama mtengeneza manukatao anavyo fanya.
# mtengezaji manukato
mtu mwenye utaalamu wa kuchanganya manukato na mafuta