sw_tn/exo/29/38.md

182 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa.

Lazima utoe kwenye madhabahu wana-kondoo wa mwaka mmoja wawili siku baada ya siku

"Kila siku utoe sadaka katika madhabahu"