# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa. # Lazima utoe kwenye madhabahu wana-kondoo wa mwaka mmoja wawili siku baada ya siku "Kila siku utoe sadaka katika madhabahu"