sw_tn/exo/29/31.md

411 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa.

kondoo mume aliyekuwa wa kuwekwa kwa kazi takatifu

"kondoo uliye muua kwa kazi takatifu"

katika mahali patakatifu

Hii sio mahali patakatifu njee na mahali patakatifu

hema ya kukutania

Hili ni jina lingine la maskani.

havitaliwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

maana, ni vitu vitakatifu

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.