# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa. # kondoo mume aliyekuwa wa kuwekwa kwa kazi takatifu "kondoo uliye muua kwa kazi takatifu" # katika mahali patakatifu Hii sio mahali patakatifu njee na mahali patakatifu # hema ya kukutania Hili ni jina lingine la maskani. # havitaliwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # maana, ni vitu vitakatifu Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.