sw_tn/exo/29/24.md

251 B

Maelezo ya Jumla

Mungu anaendelea kuongea na Musa.

Nawe utavitia hivi

Hapa "hivi" lina husu sehemu za dhabihu vilivyo tajwa katika mistari ya awali.

ni sadaka iliyotengenezwa kwangu kwa njia ya moto

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.