sw_tn/exo/29/22.md

222 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa.

matumbo ... ini ... figo

Hivi ni viungo vya ndani.

Utwae na mkate mmoja ... mbele ya Yahweh

Kwa ajili ya 29:23 ona jinsi ulivyo tafsiri maneno kama hayo 29:1