# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa. # matumbo ... ini ... figo Hivi ni viungo vya ndani. # Utwae na mkate mmoja ... mbele ya Yahweh Kwa ajili ya 29:23 ona jinsi ulivyo tafsiri maneno kama hayo 29:1