sw_tn/exo/29/15.md

278 B

Pia mtwae kondoo

Kwa hizi dhabihu za kutengwa za makuhani, alikuwa Musa, sio Aruni wala wana wake, aliye hua wanyama.

katika madhabahu

Tofauti na sadaka ya ng'ombe iliyo chomwa nje ya hema, kondoo allichomwa katika madhabahu ya ndani.

matumbo yake

"viungo vya ndani"