# Pia mtwae kondoo Kwa hizi dhabihu za kutengwa za makuhani, alikuwa Musa, sio Aruni wala wana wake, aliye hua wanyama. # katika madhabahu Tofauti na sadaka ya ng'ombe iliyo chomwa nje ya hema, kondoo allichomwa katika madhabahu ya ndani. # matumbo yake "viungo vya ndani"