sw_tn/exo/29/12.md

398 B
Raw Permalink Blame History

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kungea na Musa.

pembe

Hii ilikuwa mifano ya pembe za ng'ombe zilizokuwa zimewekwa kwenye miisho minne ya madhabahu.

damu yote

"damu iliyo baki"

yafunikayo matumbo

"yanayofunika viungo vya ndani"

ini ... figo

Hivi ni viungo mwilini.

Lakini nyama yake huyo ngombe, na ngozi yake, na mavi yake

"Lakini kwa viungo vilivyo baki vya ng'ombe"