sw_tn/exo/29/12.md

24 lines
398 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kungea na Musa.
# pembe
Hii ilikuwa mifano ya pembe za ng'ombe zilizokuwa zimewekwa kwenye miisho minne ya madhabahu.
# damu yote
"damu iliyo baki"
# yafunikayo matumbo
"yanayofunika viungo vya ndani"
# ini ... figo
Hivi ni viungo mwilini.
# Lakini nyama yake huyo ngombe, na ngozi yake, na mavi yake
"Lakini kwa viungo vilivyo baki vya ng'ombe"