sw_tn/exo/29/05.md

427 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa.

kanzu

Hili lilikuwa kanzu lilo shoneshewa mchoro.

mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi

Hii ilikuwa nguo iliyo tengenezwa kwa nyuzi mtu aliyo sokotwa pamoja kufanya uzi mgumu.

kilemba

kitambaa kirefu cha kichwa kinacho zungushwa kichwani mara kadhaa.

taji takatifu

Hili taji limeelezewa katika 29:5 kuwa limechorwa kwa maneno "tolewa kwa ajili ya Yahweh"