sw_tn/exo/28/27.md

379 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi

Huu ulikuwa mkanda wa kitambaa uliyo tengenezwa kwa nyuzi nyembamba mtu alizo zokota kufanya uzi mgumu.

ili kwamba kikae

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

ili kwamba kifuko cha kifuani kisiachane na naivera

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.