sw_tn/exo/28/27.md

16 lines
379 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.
# mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi
Huu ulikuwa mkanda wa kitambaa uliyo tengenezwa kwa nyuzi nyembamba mtu alizo zokota kufanya uzi mgumu.
# ili kwamba kikae
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# ili kwamba kifuko cha kifuani kisiachane na naivera
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.