sw_tn/exo/28/21.md

12 lines
271 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.
# Na vile vito vitakuwa sawasawa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa, ya dhahabu safi
"mikufu iliyo fanywa kwa dhahabu safi na imesokotwa kama kamba"