# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # Na vile vito vitakuwa sawasawa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # mfano wa kamba, ya kazi ya kusokotwa, ya dhahabu safi "mikufu iliyo fanywa kwa dhahabu safi na imesokotwa kama kamba"