sw_tn/exo/28/13.md

259 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

vijalizo

vipande vya chuma vinavyo shikilia jiwe kwenye naivera

mikufu miwili ya dhahabu safi; utaifanya iwe mfano wa kamba

"mikufu miwili ya dhahabu yenye kusokotwa kama kamba"