# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # vijalizo vipande vya chuma vinavyo shikilia jiwe kwenye naivera # mikufu miwili ya dhahabu safi; utaifanya iwe mfano wa kamba "mikufu miwili ya dhahabu yenye kusokotwa kama kamba"