sw_tn/exo/28/04.md

290 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

kanzu ya kazi ya urembo

"kanzu iliyo shoneshewa urembo"

kilemba

kitambaa kirefu cha kichwa kinacho zungushwa kichwani mara kadhaa.

mshipi

kipande cha kitambaa watu wanacho vaa kwenye kiuno au kwenye kifua