# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # kanzu ya kazi ya urembo "kanzu iliyo shoneshewa urembo" # kilemba kitambaa kirefu cha kichwa kinacho zungushwa kichwani mara kadhaa. # mshipi kipande cha kitambaa watu wanacho vaa kwenye kiuno au kwenye kifua