sw_tn/exo/27/20.md

206 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

hema ya kukutania

Hili ni jina lingine la maskani.

itakuwa ni amri ya milele

"nianataka watu wafanye hii kama amri ya kudumu"