# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # hema ya kukutania Hili ni jina lingine la maskani. # itakuwa ni amri ya milele "nianataka watu wafanye hii kama amri ya kudumu"