sw_tn/exo/27/17.md

399 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

dhiraa mia moja

"dhiraa 100"

yawe ya nguo ya kitani nzuri

Hii ilikuwa nguo iliyo tengenezwa kwa nyuzi mtu aliye sokota kufanya uzi mgumu.

Vyombo vyote vya maskani vitumiwavyo katika utumishi wake wote, na vigingi vyake vyote, na vigingi vyote vya ule ua, vitakuwa vya shaba

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.