# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # dhiraa mia moja "dhiraa 100" # yawe ya nguo ya kitani nzuri Hii ilikuwa nguo iliyo tengenezwa kwa nyuzi mtu aliye sokota kufanya uzi mgumu. # Vyombo vyote vya maskani vitumiwavyo katika utumishi wake wote, na vigingi vyake vyote, na vigingi vyote vya ule ua, vitakuwa vya shaba Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.