sw_tn/exo/27/03.md

324 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

mabakuli

"mabeseni"

meko

Kulikuwa na meko iliyo shika makaa kutoka madhabahuni.

Vyombo

Haya yalikuwa vifaa au vitu vilivyo tumika kwa kusudi.

Nawe uifanyie hiyo madhabahu wavu wa shaba

"Nawe ufanye wavu wa shaba kwa ajili ya madhabahu"