sw_tn/exo/27/03.md

20 lines
324 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.
# mabakuli
"mabeseni"
# meko
Kulikuwa na meko iliyo shika makaa kutoka madhabahuni.
# Vyombo
Haya yalikuwa vifaa au vitu vilivyo tumika kwa kusudi.
# Nawe uifanyie hiyo madhabahu wavu wa shaba
"Nawe ufanye wavu wa shaba kwa ajili ya madhabahu"