sw_tn/exo/26/36.md

498 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa jinsi ya kutengeneza patakatifu.

kisitiri

Hili lilikuwa pazia kubwa lilo tengenezwa kwa kitambaa.

buluu, zambarau, na nyekundu

Maana zinazo wezekana ni 1) "vitu iliyo tiwa buluu, zambarau, na nyekundu," 2) "buluu, zambarau na nyekundu" kupaka kitambaaa.

kitani nzuri yenye kusokotwa

Hii ilikuwa kitambaa kilicho tengenezwa kutokana uzi ambao mtu alizokota pamoja kufanya uzi mgumu.

mshonaji

"mtu anaye shona michoro ya vitambaa"