# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa jinsi ya kutengeneza patakatifu. # kisitiri Hili lilikuwa pazia kubwa lilo tengenezwa kwa kitambaa. # buluu, zambarau, na nyekundu Maana zinazo wezekana ni 1) "vitu iliyo tiwa buluu, zambarau, na nyekundu," 2) "buluu, zambarau na nyekundu" kupaka kitambaaa. # kitani nzuri yenye kusokotwa Hii ilikuwa kitambaa kilicho tengenezwa kutokana uzi ambao mtu alizokota pamoja kufanya uzi mgumu. # mshonaji "mtu anaye shona michoro ya vitambaa"