sw_tn/exo/26/29.md

249 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa jinsi maskani itengenezwe.

kuwa kama vishikizo

"vitakavyo shika mataruma"

mataruma

Hizi ni nguzo zinazo weka imara jengo.

uliooneshwa mlimani

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.