# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa jinsi maskani itengenezwe. # kuwa kama vishikizo "vitakavyo shika mataruma" # mataruma Hizi ni nguzo zinazo weka imara jengo. # uliooneshwa mlimani Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.