sw_tn/exo/26/26.md

206 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

mataruma

Hizi ni nguzo zinazo weka imara jengo.

maskani ulio nyuma kuelekea magharibi

Mbele ya maskani ili elekea mashariki.