# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # mataruma Hizi ni nguzo zinazo weka imara jengo. # maskani ulio nyuma kuelekea magharibi Mbele ya maskani ili elekea mashariki.