sw_tn/exo/26/19.md

12 lines
239 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.
# vitako vya fedha
Hivi vilikuwa vitofali vya fedha vyenye mpangilio kuweza ustahimili.
# Lazima kuwe na vitako viwili
Hii ina weza andikwa katika tensi tendaji.