# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # vitako vya fedha Hivi vilikuwa vitofali vya fedha vyenye mpangilio kuweza ustahimili. # Lazima kuwe na vitako viwili Hii ina weza andikwa katika tensi tendaji.