sw_tn/exo/25/37.md

375 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

zitoe nuru mbele yake

"hivyo watoa mwangaa"

Na makoleo yake, na visahani vyake, vyote vitakuwa vya dhahabu safi

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

talanta moja

Talanta ina kilogramu 34

na vyombo

makoleo na visahani

uliooneshwa mlimani

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.