# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # zitoe nuru mbele yake "hivyo watoa mwangaa" # Na makoleo yake, na visahani vyake, vyote vitakuwa vya dhahabu safi Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # talanta moja Talanta ina kilogramu 34 # na vyombo makoleo na visahani # uliooneshwa mlimani Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.