sw_tn/exo/25/22.md

12 lines
237 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa.
# nitaonana nawe hapo katika sanduku
"Nitakutana na wewe katika sanduku"
# kifuniko cha dhahabu
Hichi ni kifuniko kinacho keti juu ya sanduku ambapo sadaka ya maombezi ufanyika.